LUIS SUAREZ, EDINSON CAVANI WASHINDWA KUIBEBA URUAGUAY


Si Luis Suarez wala Edinson Cavani!  Uruguay imelazimishwa sare ya 0-0 na Venezuela katika mchezo wa kusaka tiketi ya Kombe la Dunia kwa timu za Amerika ya Kusini.

Hata hivyo sare hiyo bado inaweka Uruguay kwenye nafasi ya pili na kuweka hai matumaini ya kukata tiketi ya kwenda Urusi 2018.

No comments