Habari

MANCHESTER UNITED YAMPIGA MARUFUKU PAUL POGBA KUCHEZA BASKETBALL

on

Manchester United imempiga marufuku PAUL POGBA kucheza mpira wa kikapu (Basketball) ili kumlinda na majeraha na maumivu ya vifundo vya mguu.
Jopo la madaktari wa United linaamini mchezo huo si salama kwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye yuko nje dimba kwa maumivu ya msuli wa paja.
Pogba ni shabiki mkubwa wa NBA na amekuwa na marafiki wengi wacheza basketball maarufu ambapo mara kadhaa kwenye mapumziko yake, amekuwa akifanya mazoezi ya mpira huo wa kikapu.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *