MANCHESTER UNITED YAPIGA HESABU ZA KUMSAJILI BURE MESUT OZIL


Mesut Ozil huenda akatua Manchester United iwapo nyendo za Jose Mourinho za kutaka kumsajili bure kiangazi kijacho zitakwenda vizuri.

Kiungo huyo wa Arsenal atakuwa mchezaji huru mwishoni mwa msimu huu baada ya kukataa kusaini mkataba mpya Emirates.

Hata hivyo ili Ozil atue United, itabidi aweke kando matarajio yake ya mshahara mkubwa.

No comments