MARCO REUS ANUKIA LIGI YA ENGLAND... Arsenal, Man U zamsarandia

KUNA uwezekano mkubwa wa staa wa Borussia, Marco Reus kutua katika moja ya klabu kubwa nchini England baada ya Arsenal na Manchester United kuonyesha nia ya kuhitaji saini yake.


Reus mwenye miaka 28, anatarajiwa kumaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na mpaka sasa hajaonyesha nia ya kuendelea kukipiga nchini Ujerumani.

No comments