MARUOANE FELLAINI KULAMBA KANDARASI NYINGINE MANCHESTER UNITED

KLABU ya Manchester United imepanga kumuongezea mkataba mpya kiungo wake, Maruoane Fellaini ambaye amekuwa na mwenendo mzuri kwenye kikosi hicho.

Fellaini anatarajia kumaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu lakini kocha Jose Mourinho hana mpango wa kuachana nae.


Mourinho pia ameripotiwa kuwa kwenye mawindo ya kumsajili mshambuliaji wa timu ya Napoli, Dries Mertens raia wa Ubelgiji 30.

No comments