MIRAJI SHAKASHIA WA TWANGA PEPETA APATA MKWE


Ni wazi kuwa Miraji Shakashia sasa ni muhenga, hakuna ubishi!

Mpiga solo huyo mahiri wa Twanga Pepeta amepata mkwe baada ya mwanae wa kiumbe Amour Miraj Shakashia kufunga pingu za maisha Jumapili iliyopita.
Miraj Shakashia (kulia) akiwa na maharusi Amour na Johari

No comments