MOURINHO AMFUNGULIA MILANGO BEKI LUKE SHAW

IMEDAIWA kuwa kocha wa timu ya Manchester United, Jose Mourinho amemruhusu beki wake wa kushoto, Luke Shaw mwenye miaka 22 kuondoka katika dirisha dogo la Januari.
Beki huyo amekuwa kwenye wakati mgumu tangu Mourinho atue Old Trafford msimu uliopita na hivi sasa imeelezwa wawili hao hawana uhusiano mzuri.

No comments