MOYES ANYEMELEA KIBARUA TIMU YA TAIFA SCOTLAND

KOCHA wa zamani wa timu za Everton, Manchester United na Sunderland, David Moyes ameripotiwa kuvizia kibarua cha kuifundisha timu ya taifa ya Scotland.


Moyes alipendekezwa na Sir Alex Ferguson kuifundisha Manchester United wakati alipokuwa anatangaza kustaafu lakini muda mfupi baadae alitimuliwa kufuatia mwenendo mbovu wa timu hiyo.

No comments