MSAGA SUMU AIPELEKEA MWANAUME MASHINE SINGIDA


Mkali anayetesa kwa sana na wimbo wake wa “Mwanaume Mashine” Msaga Sumu, Jumapili hii atakuwa ndani ya Singida mjini.

Msaga Sumu atatumbuiza ndani ya Club 80s Fribbik Complex ambapo nyimbo zake zinazosubiriwa kwa hamu kubwa ni “Mwanaume Mashine” “Unanitega Shemeji” na “Matobo”.

No comments