MSUVA AMPIKU SAMATTA WAFUASI WA VIDEO YOUTUBE

MSHAMBULIAJI wa kimataifa Mtanzania Simon Msuva ambaye anachezea timu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco amempiku nahodha wa Stars, Mbwana Samatta kwa kuwa na idadi kubwa ya wafuasi kwenye ukurasa wa video wa YouTube.


Msuva ameongeza mashabiki mnao fuatilia kwenye mitandao ua kijami baada ya kufanya vizuri nchini Morocco pamoja na kuibeba timu ya Taifa Stars kila mara anapoitwa kuja kucheza mechi ya kirafiki.

No comments