NEW AUDIO: “UMASIKINI” YA E.A. NGWASUMA …WASIKILIZE MAHASIMU WAZIRI SONYO NA RAMA IGWE WANAVYOKAMUA
Huu ni wimbo mpya kutoka kwa bendi ya East African Ngwasuma ya Arusha, ukiwa umepewa jina la “Umasikini”.

Ndani ya kazi hii utamsikia Waziri Sonyo kupitia sauti yake tamu, anavyoanzisha wimbo kwa pande tamu ambalo hutatamani liishe.

Lakini pia ndani ya wimbo huu utaisikia sauti ya Rama Igwe, hasimu mkubwa wa Waziri Sonyo.

No comments