NEYMAR ATAKA IMSAJILI PHILIPPE COUTINHO


Nyota wa Paris Saint-Germain Neymar  ametoa maelekezo kwa viongozi wa klabu hiyo kumsajili mshambuliaji wa Liverpool,  Philippe Coutinho.

Neymar ana kiu kubwa ya kuungana na Mbrazil mwenzake na anataka kuona PSG ikiizidi kete klabu yake ya zamani, Barcelona juu ya dili hilo la  Coutinho.


No comments