PICHA 10 ZA MAPACHA WATATU ORIGINAL NDANI YA BRAZIL PUB IJUMAA ILIYOPITA


Bendi mpya ya Mapacha Watatu Original, imeendelea kujitanua kila kona ya Dar es Salaam ambapo Ijumaa iliyopita walipiga show kali ndani ya Brazil Pub, Tegeta.

Mapacha Watatu Original hawaachi kitu, wanagonga nyimbo za bendi yoyote ambayo ilipata ushiriki wa Khalid Chokoraa  - kuanzia Extra Bongo, Twanga Pepeta hadi Mapacha Watatu.

Zifuatazo ni picha 10 za show ya bendi hiyo inayoongozwa na Khalid Chokoraa.
 Kabatano akiunda safu ya waimbaji ya Mapacha Watatu Original
 Kanuti wa Twanga Pepeta (kushoto) akisalimia jukwaa la Mapacha
 Chokoraa, Kanuti na Kabatano
 Mashambulizi ya Mapacha Watatu Original
 Super Black akicharaza solo gitaa
 Thabit Abdul akitoa sapoti kwenye kinanda
 Caty Chuma mbali na kuimba, pia ni mkali wa minenguo
Khalid Chokoraa kiongozi wa Mapacha Watatu
Kutoka kushoto ni Chokoraa, Caty Chuma na Frank KabatanoNo comments