Habari

PICHA 10 ZA MSONDO NGOMA KATIKA TANZANIA BAND FESTIVAL DODOMA

on

Msondo Ngoma ndiyo waliokata pazia burudani kwenye onyesho kubwa la muziki
wa dansi – Tanzania Band Festival linalofanyika mjini Dodoma ndani ya Kisasa
Capetown Compelex usiku huu.
Zifuatazo ni picha 10 za Msondo Ngoma walivyokuwa jukwaani kabla ya
kuwapisha B Band chini ya Banana Zorro.
 Edo Sanga
 Waimbaji wa Msondo wakishambulia jukwaa
 Mwimbaji Twaha Malovee
 Romario na rap zao
 Hassan Moshi “TX Junior”
 James Wawila kwenye drums
 Msondo jukwaani
 Athuman Kambi akitesa na sauti zake tamu
 Juma Katundu
Said Mabela kwenye solo

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *