PICHA 13 ZA MASHAUZI CLASSIC NDANI YA BABATI JUMAPILI USIKU

Jumapili usiku kundi la Mashauzi Classic, lilitoa dozi ya burudani kwa wakazi wa mji wa Babati ndani ya ukumbi wa River Nile.

Zifuatazo ni picha 13 za Mashauzi Classic chini yake Isha Mashauzi ndani ya mji wa Babati.
 Hashim Said
 Isha Mashauzi
 Isha akiimba kwa hisia
Aisha, Mwimbaji chipukizi wa Mashauzi Classic 
 Kali Kitimoto akifanya yake kwenye kinanda
 Mashabiki wa Babati wakicheza goma la Mashauzi
 Isha Mashauzi akiendeleza makamuzi
 Isha akiimba mbele ya mashabiki wake
 Rahma Aman
 Kazi ikiendelea
 Shaaban wa Kumwaga kwenye bass
 Waimbaji wa Mashauzi Classic
Waimbaji wa Mashauzi Classic ndani ya mji wa Babati

No comments