Habari

PICHA 15 ZA MAANDALIZI YA TZ BAND FESTIVAL DODOMA

on

Leo usiku onyesho kubwa la muziki wa dansi – Tanzania Band Festival, litaunguruma
kwenye kiwanja kipya cha starehe, Kisasa Capetown Complex, Dodoma.
Bendi zitakazoshiriki ni FM Academia, Twanga Pepeta, Msondo Ngoma,
Malaika Band na B Band.
Zifuatazo ni picha 15 zilizopigwa na kamera ya Saluti5 muda mfupi
uliopita zinazoonyesha maandalizi ya onyesho hilo ndani ya Kisasa Capetown
Complex, eneo ambalo ni bora kuliko ‘viwanja’ vingi (kama si vyote) vya
maonyesho ya wazi vilivyopo Dar es Salaam.
 Jukwaa linavyoonekana
 Sehemu ya Kisasa Complex
 Hii ndio Kisasa Capatown Comlex
 Mandhari ya eneo la tukio
 Bendi kadhaa za dansi zitachuana hapa leo usiku
 Viti vya kutosha
 Mambo yako kama hivi
 Maandalizi yanaendelea
 Kisasa Complex kwa nje
 Kibanda cha fundi mitambo
 Parking ya nguvu
No caption
Mapema watu wakianza kulipa na kuingia Kisasa Complex

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *