PICHA 16 ZA MASHAUZI CLASSIC WALIVYOITEKA MOSHI JUMAMOSI USIKU …”Thamani ya Mama” yapokewa kwa kishindo


Wakazi wa Moshi na vitongoji vyake, Ijumaa usiku walikula uhondo wa burudani kupitia onyesho la Mashauzi Classic ndani ya ukumbi wa Aventure.

“Thamani ya Mama” ambao ni wimbo mpya wa kundi hilo, uimbaji wake Isha Mashauzi, ulipokewa kwa kishindo na mashabiki wa Moshi.

Pata picha 16 za onyesho hilo la Mashauzi Classic ndani ya mji wa Moshi lililohudhuriwa na mashabiki kibao.
 Abdumalick Shabaan 
 Aziza, mmoja wa waimbaji wa Mashauzi Classic
 Hashim Said akiimba wimbo wake "Bonge la Bwana"
 Hashim Said akiimba mbele ya umati wa mashabiki wa mjini Moshi
 Isha Mashauzi akiimba moja kati ya nyimbo saba alizoimba mjini Moshi
 Kali Kitimoto akipapasa kinanda cha Mashauzi Classic
 Taswira ya show ya Mashauzi Classic mjini Moshi
 Isha Mashauzi akiendelea kusambaza uhondo wa burudani zake
 Abdumalick na Mkude Simba
 Asia Mzinga akifurahia jambo fulani
 Hivi ndivyo ukumbi wa Aventure ulivyotapika mashabiki
 Isha Mashauzi jukwaani
 Rahma Aman akiimba kwa kujiamini
 Kila sbabiki na simu yake katika kujichukulia kumbukumbu za uhondo wa Isha Mashauzi
Shaaban wa Kumwaga akipiga bass gitaa la Mashauzi Classic

No comments