FM Academia wamepiga show bab kubwa ndani ya Tanzania Band Festival iliyofanyika mjini Dodoma, Kisasa Capetown Complex.

Bendi hii imeonyesha ushirikiano mkubwa sana jukwaani (team work) kuanzia wapigaji, waimbaji hadi madansa. Wamejua kuitendea haki show.
 33 jukwaani
Giome kwenye bass
 Kaposhoo tumba
 Mule Mule
 Pablo Masai
 Patcho Mwamba
 Makamuzi ya nguvu
Waimbaji wa FM Academia wakifanya yao


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac