SADIO MANE NAYE KUKOSA MECHI YA MANCHESTER UNITED NA LIVERPOOLWakati Manchester United ikahaha na pengo la kiungo Marouane Fellaini aliyeumia kwenye mechi za kimataifa, Liverpool nayo imempoteza mshambuliaji wake tegemeo SADIO MANE.
Klabu hizo mbili zinakutana Jumamosi hii kwenye mchezo wa Premier League huku Sadio Mane akiwa ingizo jipya la majeruhi baada ya kuumia dakika ya 89 kwenye mecho wa Senegal dhidi ya Cape Verde.
Mane anategemewa kuwa nje ya dimba kwa wiki sita wakati Fellaini atakuwa nje kwa wiki mbili.

No comments