SANDTON BAND KUSINDIKIZA MISS SINZA IJUMAA HII


Mbio za kuelekea Miss Tanzania zinazidi kupamba moto ambapo Ijumaa hii atatafutwa Miss Sinza 2017 kupitia kanda ya Kinondoni.

Miss Sinza itafanyika ndani ya hotel ya Denfrance iliyopoa Sinza White Inn huku burudani kubwa ikitarajiwa kuporomoshwa na bendi ya Sandton chini yake Mackey Fanta.

Mratibu wa Miss Sinza, Nasib Mahinya ameiambia Saluti5 kuwa mbali na Santond Band, pia atakuwepo Nyoshi el Saadat.

No comments