TOTTENHAM KUMFUNGA KITANZI DELE ALLI

KLABU ya Tottenham inatarajia kumuongeza mkataba mpya kiungo wake Dele Alli mwenye miaka 21 ili kumzuia asiondoke kwenye klabu zingine kubwa za Ulaya.


Mkataba wa sasa unaonyesha kiungo huyo analipwa pauni 50,00o na Totenham wamepanga kumlipa 80,000 kwa wiki, Dele Alli anawindwa na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania ambayo imepanga kuboresha kikosi chake.

No comments