TOTTENHAM YAICHAPA LIVERPOOL 4-1 … Harry Kane moto chini


Tottenham imeichakaza Liverpool 4-1 katika mchezo mkali wa Premier League huku mshambuliaji Harry Kane akitupia wavuni mara mbili.


Magoli mengine ya Tottenham yalifungwa na Heung-Min Son na Dele Alli huku goli pekee la Liverpool likifungwa na Mohamed Salah.

No comments