TOTTENHAM YAJIPANGA "KUMALIZANA" NA MTOTO WA PATRICK KLUIVERT

KLABU ya Tottenham inajiandaa kukamilisha usajili wa kinda wa timu ya Ajax, Justin Kluivert  ambaye ni mtoto wa staa wa zamani wa timu ya Barcelona Patrick kluivert.

Spurs pia wanatazama uwezekano wa kumnasa kinda mwingine, Donny van de Beek mwenye miaka 20.


Klabu hiyo inajiandaa kuishi bila mshambuliaji wake harry Kane anayetajwa kutaka kujiunga na real Madrid mwishoni mwa msimu huu.

No comments