UHONDO WA MAPACHA MUSIC BAND NDANI YA CLUB MASAI UKO PALE PALE


Licha ya figisu figisu inazokutana nazo, kundi la Mapacha Music Band bado liko imara kama chuma na ratiba yao ya kila Jumapili ndani ya Meridian Hotel (Club Masai) Kinondoni iko pale pale.


Kwasasa Mapacha Music Band ndiyo habari ya mjini kwa kila Jumapili kufuatia ubora wa show yao hapo Meridian Hotel huku ‘sound’ ikiwa bab kubwa.

No comments