VAN DIESEL, LUDACRIS WAINGIA STUDIO KUREKODI KITU CHA "BLUES"

MASTAA wa filamu ya Fast and Furious, Van Diesel na Ludacris wameposti picha wakiwa Studio wakitengeneza nyimbo ya pamoja ambayo itakuwa ya mandhari ya taratibu.


“Kama unavyojua, mara nyingi huwa tunakuwa pamoja katika kazi zetu na sasa tunatarajia kuja tofauti na watu walivyozoea,” alisema Van Diesel.

No comments