WINGA ANDRE CARRILLO WA BENIFICA ANOGEWA NA LIGI YA ENGLAND

WINGA wa timu ya Benifica na Peru, Andre Carrillo mwenye miaka 26 anataka kubakia nchini England baada ya kuanza kunogewa na Ligi hiyo.

Carrillo yupo kwenye mkopo wa muda mrefu katika klabu ya Watford na sasa amepanga kuhamia jumla.

Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa uongozi wa Watford ambao unataka kubakia naye moja kwa moja.

No comments