YANGA UWANJANI KUIKABILI KAGERA SUGAR BILA DONALD NGOMA

TIMU ya Yanga iko mkoani Bukoba ambako inacheza dhidi ya mwenyeji Kagera Sugar, huku ikiwa bila mshambuliaji wake Donald Ngoma ambaye alipata majeraha ya misuli kwenye mechi dhidi ya Mtibwa iliyomalizika kwa sare ya bila kufungana.

No comments