Kundi la Zanzibar Stars Modern Taraab leo usiku litarindima ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni jijini Dar es Salaam.

Hii ni mara ya kwanza kwa Zanzibar Stars kutinga Travertine Hotel tangu liundwe upya miezi mitatu iliyopita.

Miongoni mwa wasanii wanaotegemewa kutingisha Travertine ni pamoja na waimbaji Khadija Yussuf, Zubeida Mlamali, Sihaba Juma, Bi Mwanahawa Ali na Issa Kamongo.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac