"ZILIPENDWA" WA CHRISTIANO RONALDO AIPOTEZEA SHEPU YAKE YA ZAMANI

MPEMBO Irina Shky hana mpango wa kurejesha umbo lake la zamani baada ya kujifungua mtoto wa kike anayeitwa Lea.

Shky amezaa na mpenzi wake mpya, Bradley Cooper baada ya mrembo huyo kushindwana na staa wa Real Madrid, Christian Ronaldo.

Mrembo huyo raia wa Urusi amekuwa akifurahia mwonekano wake mpya na kila wakati anaposti picha mpya kwenye mitandao ya kijamii.


Penzi la Shyk na Ronaldo lilikufa baada staa huyo kuwa na tabia ya kuendeleza michepuko nje ya mahusiano yao.

No comments