AARON RAMSEY ASEMA ARSENAL ‘IMEFUFUKA’ MANCHESTER CITY WATAKOMA


Kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey anaamini kuwa timu yake imefufuka na itathibitisha hilo katika mchezo wao wa Jumapili dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Manchester City.

Arsenal ililambwa 1-0 na Stoke City kabla haijapigwa 4-0 na Liverpool muda mfupi kabla dirisha la usajili la kiangazi halijafungwa na kuiacha ikiwa na pointi tatu katika michezo yao mitatu ya mwanzo.

Hata hivyo Arsenal imekuwa ikiimarika siku hadi siku na kukwea hadi nafasi ya tano ikiwa na pointi 19.

Ramsey anasema kikosi chao kiko imara katika idara zote na kwamba hawana hofu ya kuvaana na timu yoyote.

  

There was plenty of uncertainty at the time over the futures of Alexis Sanchez, Mesut Ozil and Alex Oxlade-Chamberlain, who went on to make a deadline day move to Liverpool. 

No comments