ANTONIO CONTE AJIANDAA KUTIMKIA PSG

KOCHA wa timu ya Chelsea, Antonio Conte ameripotiwa kuwa kwenye mkakati wa kutaka kuhamia kwenye klabu ya Paris St-Germain ya nchini Ufaransa.


Kocha huyo amekalia kuti kavu Stamford Bridge ambapo kuna taarifa  za kutaka kutemwa na mmiliki wa klabu, Roman Abramovich kabla ya kumalizika kwa msimu huu.

No comments