ARSENAL YAJITOSA KUWANIA SAINI YA KIUNGO WA ATALANTA

KLABU ya Arsenal imetaja kuanza vita ya chinichini kuwania saini ya kiungo wa Atalanta, Miguel Almiron.

Katika vita hiyo Arsenal inatarajia kukumbana na upinzani mkali kutoka kwa Newcastle ambao walianza mbio hizo tangu dirisha lililopita.


Hata hivyo kuna uwezekano wa Miguel kutua Arsenal baada ya kuonyesha nia ya kutaka kufanya kazi na Arsene Wenger.

No comments