ASTON VILLA YASEMA: "SCOTT HOGAN, HENRI LANSBURY, JACK GREALISH HAWAENDI KOKOTE!"

KLABU ya Aston Villa imeweka wazi kuwa haina mpango wa kuachana na mastaa wake watatu; Scott Hogan, Henri Lansbury na Jack Grealish ambao wanahusishwa kutaka kuhama.

Villa wanahitaji kuboresha kikosi chao ambacho wameweka msimamo wa kutomwachia staa hata mmoja katika dirisha dogo la Januari.


Wakati huohuo klabu ya Rangers imeanza mazungumzo na kocha wa zamani wa England, Stive McClaren wakihitaji abebe jukumu la kuwa meneja wao mpya.

No comments