AUDIO: ASHA BARAKA ASEMA DAWA YA SHOW ZA NDONDO IMEPATIKANA


Mkurugenzi wa The African Stars Band “Twanga Pepeta” Asha Baraka amesema dawa ya show za ndondo imepatikana na sasa hataruhusu mchezo huo uendelee ndani ya bendi yake.

Akizungumza katika ofisi za Saluti5 jana jioni, Asha Baraka alisema Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemhakikishia kuwa show za ndondo ni makosa na bendi nyingi za kuungaunga maonyesho kijanja zinafanya hivyo kinyume na sheria kwa vile hazijasajiliwa.

Msikilize kwa kirefu Asha Baraka alivyochachamaa.

No comments