AUDIO: UMEBUGI YA CLOUDS FM …MUUMIN AZIDI KUWA GUMZO ACHAMBULIWA KAMA KARANGA


Kipindi cha Weekend Bonanza cha Clouds FM kinachoruka kila Jumamosi kuanzia saa 4 usiku, juzi kilimweka ulingoni mwimbaji Mwinjuma Muumin kupitia kipengele maarufu cha “Umebugi”.

Sikiliza mwenyewe mwanzo hadi mwisho wa kipengele hicho cha “Umebugi” kupitia audio tuliyokuwekea hapo chini.

No comments