BAADA YA MWAKA MZIMA, HATIMAYE ANTHONY MARTIAL AREJESHWA TIMU YA TAIFA UFARANSA


Mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial ameitwa timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kocha  Didier Deschamps kumtenga kwa mwaka mzima.

Martial, ambaye ameichezea Ufaransa mechi 15, hakuvaa jezi ya nchi hiyo tangu Okotoba 2016. 

No comments