BARCELONA NAYO YAJITOSA MBIO ZA KUWANIA SAINI YA MESUT OZIL

ILIONEKANA kama kiungo wa timu ya Arsenal, Mesut Ozil anakwenda Manchester United lakini ghafla klabu ya Barcelona imeibuka na kuwania saini yake.


Ozil anatarajia kuondoka Arsenal katika majira ya dirisha dogo la Januari huku klabu za Manchester United na Barcelona zikipigana vikumbo kumwania.

No comments