BIFU NA MORINHO LAMTIA HOFU LUKE SHAW KUENDELEA MAN UNITED

BEKI wa kushoto wa timu ya Manchester United, Luke Shaw mwenye miaka 22, ameingiwa wasiwasi kuwa huenda asipate fursa ya kuichezea klabu hiyo baada ya uhusiano wake na meneja Jose Mourinho kuzidi kuharibika.

Shaw na Mourinho wanadaiwa kutozungumza kufuatia mada ya beki huyo wa kushoto kwamba hachezeshwi msimu huu.


Jose Mourinho aliwahi kumshambulia beki huyo kwenye vyombo vya habari na tangu hapo wawili hao wamekuwa hawapikiki chungu kimoja.

No comments