CATY CHUMA NA THABIT ABDUL WALIVYOPAGAWISHANA KWENYE SHOW YA MAPACHA WATATU


Katika onyesho fulani la Mapacha Watatu Original ndani ya Brazil Pub, Tegeta mwezi uliopita, kamera ya Saluti5 ilivutiwa zaidi na ushirikiano ulioonyeshwa jukwaani kati ya mpiga kinanda Thabit Abdul na mwimbaji Caty “Cindy” Chuma.

Thabit aliyekwenda kusalimia kisanii onyesho hilo, alipapasa kinanda kwa ufundi mkubwa na kumfanya Caty apagawe na kwenda kucheza mbele yake ili kumhamasisha zaidi Thabit Abdul.
 Thabit Abdul na mwimbaji Caty “Cindy” Chuma
 Thabit na Caty  wakiendelea 'kupagawishana'
Mambo yakazidi kunoga

No comments