CHELSEA ILIVYOTIBUA REKODI ZA TIMU ZA ENGLAND NDANI YA CHAMPIONS LEAGUE


Kichapo cha 3-0 kutoka kwa Roma ya Italia, kimeifanya Chelsea iwe timu ya kwanza kutoka England kupoteza mchezo katika Ligi ya Mabingwa msimu huu.

Roma iliifunika kabisa Chelsea na kwenda mapumziko ikiwa mbele 2-0 kwa mabao yaliyofungwa na Stephan El Shaarawy dakika ya kwanza na 36.

Diego Perotti akazima matumaini ya Chelsea kwa kuifungia Roma bao la tatu kunako dakika ya 63.


No comments