CHELSEA MBIONI KUMNG’OA SAUL NIGUEZ ATLETICO

KLABU ya Chelsea imepanga kukamilisha usajili wa kiungo wa Atletico Madrid, Saul Niguez mwenye miaka 22.

Matajiri hao wa jiji la London wametenga kiasi cha euro mil 80 ili kukamilisha uhamisho wake katika dirisha dogo.


Klabu hiyo inahaha kusaka kiungo mbadala tangu ilipomuuza Nemanja Matic kwenda Manchester United.

No comments