"CHINI YA MIL 30 OZIL HANG'OKI ARSENAL NG'O!"

KLABU ya Arsenal imeweka wazi kuwa haitamuacha staa wake Mesut Ozil mwenye miaka 29 kwa fedha itakayopungua pauni mil 30.

Staa huyo wa Ujerumani anahusishwa kutaka kujiunga Manchester United katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari mwakani.


Mkataba wa sta huyo kwenye dimba la Emirates unatarajia kumalizika mwishoni mwa msimu huu hivyo Arsenal inaweza kukosa fedha ikiwa itasubiri mpaka dakika za mwishoni.

No comments