DE BRUYNE KULAMBA KANDARASI YA MUDA MREFU MAN CITY

STAA wa timu ya Manchester City, Kevin de Bruyne mwenye miaka 26 anajiandaa kupewa mkataba mrefu katika kikosi hicho cha Pep Guardiola.

Wakati huohuo mshambuliaji Sergio Aguero amesema kuwa hafahamu lolote kuhusiana na kupewa mkataba mwingine kwenye kikosi hicho.


Staa huyo amekuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha kwanza ambapo anahitajika kupigania namba na kinda Gabriel Jesus.

No comments