DI MARIA NEYMAR, MBAPPE WALITAKA KUMPELEKA FC BARCELONA

WINGA wa timu ya Paris Saint Germain, Angel di Maria amesema kwamba alikaribia kusaini mkataba kwenye timu ya Barcelona katika dirisha kubwa la usajili lililopita.

Di Maria amedai kwamba usajili wa Neymar na Kylian Mbappe ulitaka kusababisha achukue uamuzi huo mzito.


Usajili wa Neymar pia umesababisha mshambuliaji Cavan kukosa raha kwenye kikosi cha kwanza baada ya staa huyo wa Brazil kuonekana anapewa kipaumbele zaidi.

No comments