EPHRAIM JOSHUA AJIUNGA NA MAPACHA WATATU YA KHALID CHOKORAA


Mcharaza gitaa maarufu hapa nchini, Ephraim Joshua amejiunga na bendi Mapacha Watatu Original inayoongozwa na Khalid Chokoraa.

Chokoraa ameithibitishia Saluti5 kuwa Ephraim Joshua ndiye mpiga solo wao mpya kuanzia wiki mbili zilizopita.

Kabla ya kujiunga na Mapacha Watatu, Joshua ambaye aling'ara zaidi na bendi ya Extra Bongo, alikuwa amejichimbia kanda ya ziwa ambako alizitumikia bendi kadhaa ikiwemo Super Kamanyola ya jijini Mwanza.

No comments