EUROPA LEAGUE: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI


Arsenal imelazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya FK Crvena Zvezda (maarufu kama Red Star Belgrade) ya Serbia katika mchezo wa Europa League wa kundi H.

Hata hivyo licha ya sare hiyo, Arsenal ndiyo inaongoza kundi hilo kwa jumla ya pointi 10 ikifuatiwa na Red Star Belgrade yenye pointi 5.

No comments