FELLAINI KUISHITAKI KAMPUNI ILIYOMPA VIATU VYA KUCHEZEA …kisa? Anadai vimemsababishia maumivu

The player has since switched from New Balance and now prefers to wear Nike boots 

Kiungo wa Manchester United Marouane Fellaini anadai fidia ya pauni milioni 2-1 kwa kampuni ya New Balance kwa madai kuwa vitua vyao vya kuchezea vimemsababishia 'uharibufu mkubwa' kwenye mguu wake.

Nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji, alisaini mkataba wa miaka minne na kampuni hiyo kubwa ya vifaa vya michezo mwaka 2012 lakini ameiburuza mahakamani kwa madai ya kumsababishia maumivu.

Tayari ameachana na mkataba wa kampuni hiyo uliokuwa unamwingizia pauni 600,000 kwa mwaka - aliamua kujiunga na Nike kabla ya msimu uliopita.
Manchester United star Marouane Fellaini is suing New Balance as he claims their boots hurt 
 Marouane Fellaini anaiburuza mahakamani kampuni ya New Balance 
The Belgian midfielder signed a four-year deal, worth £600,000-a-year, with them in 2012
Fellaini anadai viatu vya New Balance vimesambabishia mamivu makubwa

No comments