GABRIEL JESUS NA KEVIN DE BRUYNE WAIPA MANCHESTER CITY USHINDI WA 10 MFULULIZO


Manchester City wameitandika Leicester City 2-0 na kundika ushindi wao wa kumi mfululizo katika Premier League.

Wauaji wa Manchester City walikuwa ni Gabriel Jesus na Kevin De Bruyne katika dakika ya 45 na 49 huku nahodha Vincent Kompany akisalimika kulambwa kadi nyekundu dakika ya tatu baada ya kumchezea rafu Jamie Vardy.

Manchester City: Ederson 6; Walker 7.5, Kompany 5, Stones 6 (Mangala 30, 5), Delph 7; Fernandinho 6; de Bruyne 8.5 (Gundogan 88), D Silva 7.5, Sterling 6 (B Silva 82), Sane 7.5; Jesus 6.5.

Leicester City: Schmeichel 6; Simpson 6, Morgan 6, Maguire 6.5, Fuchs 5; Ndidi 6.5, Iborra 7 (Okazaki 82); Mahrez 7 (Slimani 82, Gray 6, Albrighton 6 (Iheanacho 66, 5.5); Vardy 6


No comments