JAHAZI MODERN TAARAB WAKO DODOMA JUMAMOSI HIIKundi la Jahazi Modern Taarab Jumamosi hii litaporomosha burudani ya kukata na shoka ndani ya mji wa Dodoma.

Mkurugenzi wa Jahazi, Khamis Boha, ameiambia Saluti5 kuwa onyesho hilo litafanyika ndani ya ukumbi wa Perugina Club.

No comments