JOSE MOURINHO ATUMIA PSG KAMA CHAMBO CHA KUWASHIKA PABAYA MANCHESTER UNITED


Jose Mourinho anaitaka Manchester United ionyeshe ni kwa namna gani inamthamini kwa kumpa mkataba mpya mnono katika kipindi hiki ambacho tetesi zake za kujiunga na Paris Saint-Germain  zikiendelea kutawala.

Kocha huyo wa Kireno anaamini kuwindwa kwake na PSG kumeimarisha himaya yake juu ya mazungumzo ya mkataba mpya ujao Old Trafford na amemtaka mtendaji wa Manchester United Ed Woodward kuweka mezani dili ambalo halizuiliki.No comments